Seleziona una pagina

Inno keniota

  1. Home
  2. /
  3. Inno keniota

Ee Mungu Nguvu Yetu

Il testo completo dell’Inno keniota

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.

Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda

Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani

Il motto è Tutti insieme.
La valuta è lo Scellino keniota.

Avete bisogno di un’idea regalo! Volete sostenere la vostra squadra, il vostro paese!

Inno keniota
Più di 100 prodotti da scoprire nel negozio!

0 commenti

Invia un commento

Il tuo indirizzo email non sarà pubblicato. I campi obbligatori sono contrassegnati *