Tanzanian Anthem
- Home
- /
- Tanzanian Anthem
Mungu ibariki Afrika
The full lyrics of the Tanzanian Anthem
Mungu ibariki Afrika
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na Amani
Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake.
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika.
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki
Tanzania na watu wake.
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania.
The motto is Freedom and Unity.
The currency is the Tanzanian Shilling.
The currency is the Tanzanian Shilling.
Need a gift idea! Want to support your team, your country!
More than 100 products to discover in the shop!
0 Comments