Select Page

Kenyan Anthem

  1. Home
  2. /
  3. Kenyan Anthem

Ee Mungu Nguvu Yetu

The full lyrics of the Kenyan Anthem

Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngao na mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi.

Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda

Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani

The motto is All pull together.
The currency is the Kenyan Shilling.

Need a gift idea! Want to support your team, your country!

Kenyan Anthem
More than 100 products to discover in the shop!

0 Comments

Submit a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *